kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,276
- 19,587
mambo wana jf?
kuna binti aliniacha mwenyewe tu bila sababu lakini cha kunishangaza anapenda kunisifia kwa marafiki zake na ndugu zake kuwa mimi ni kijana mwenye tabia njema na nisiyekua na makuu ila wakimshauri turudiane anakataa anasema labda tuwe marafiki tu.
kinachonistaajabisha ni kuwa hakua na sababu ya msingi kuniacha na pia hakua na mwanaume mwingine maana hata mossad niliowaweka wamchunguze walinipa report kuwa hana mtu.pia nikimchunia muda mrefu bila kumtafuta siku nikimtafuta anakua kama kanuna vile anakua ananiambia eti imekuaje nimemtafuta mtu asiye na thamani kama yeye.
wakuu kwenye situation ka hii nafanyaje,mtu anatoa sifa njema kunihusu lkn hataki turudiane ukizingatia hakuna baya nlilomfanyia mpaka kuwa hivo?