BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Peace &love
Ilikuwa usiku kama usiku mwingine wa week end, kawaida Dar siku za Ijumaa
huwa kunakuwa na mitoko kila kona kwa wale free agent. Ni wajibu wa mtokaji kusoma logistic wapi kuna happen kwa urefu wa wallet yako usiku husika kituko kilitokea kwenye club moja maarufu hapa jijini. Kawaida club hizi kubwa watu wanaanza kuingia saa tano na nusu usiku na kuendelea.
Nilikuwa nimekosa maelewano na girl friend wangu, mawasiliano yalikatika zaidi ya wiki kila mtu aliendelea na zake kama vile mwenzie hayupo na uhusiano umeisha. Kabla ya tukio hilo tulikuwa na kawaida ya kutoka kila ijumaa tulienda viwanja tofauti hapa DAR, sehemu zote nzuri unazozijua tulishakula bata na kufurahia maisha haya mafupi ya Duniani.
Huyu mdada ni mnyange anajitambua alikuwa anapenda kunywa Gin/grand those classic alcohol ambazo bila Ice na club soda kiwanja hicho mnahama good old days, alikuwa na hasira za karibu na mwenye kupenda mashindano(bifu) mkigombana, mara chache anashuka chini (kuondoa pride na kuonyesha respect)
Baada ya kukosa mawasiliano kama nilivyotaja pale mwanzoni, siku hiyo niliamua kutoka kula bata bila yeye, huku nikiwa na msichana aliyekubali kutoka namimi japo hakujua kilichokuwa kinaendelea baina yangu na girlfriend wangu.
Tulikaa karibu na mlango mkubwa wa kuingilia,huku tukinywa taratibu na story za hapa na pale, hamadi akaingia Girlfriend wangu tuliyekolofishana na kukosa mawasiliano/maelewano yuko na mwanaume ambaye nikajifanya siwaoni wakaenda counter na kununua lager!
Walituona yule girlfriend wangu hakuamini alichokiona alipagawa kwa kunikuta pale na kimwana.Nilitumia busara ya kuondoka pale bila wao kujua mda ule ule mwanaume aliyekuwa naye yeye siku ilifuata alidai ni family friend akaanza kunilaumu kwa kumsaliti nikamwambia namimi yule alikuwa family friend, ilichukua mda tukawa wote kila
mtu akiwa amenyooka.
Fundisho kutokana na lile tukio huumji ni mdogo sana (DAR) usidhani utajificha, pili upendo una nguvu kulikokujifanya humtaki mwenza wako kwaajiri ya kukosa maelewano kidogo au mawasiliano.Toka na msichana mmoja anza mahusiano mapya pale tu ambapo unauhakika mahusiano ya mwanzo yamekoma.
Lovely week end, samahani kwa story ndefu na flashback style ya uandishi.