Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Naona vijana wa wcb tawi la jamii forum kimya tangu asubuhi na wakati jana alikuwa na show Matata Oman.
Kiukweli Hali hii sio ya kawaida jamii forum. Inamaana diamond imefika wakati mmemzoea kila kitu kwake imekuwa kawaida au naswala ya siasa ndo kata funika Ya mjini?
Kama swala la makonda na nape ndo sababu basi nimeamini siasa ina nguvu sana awamu hii vijana udaku hawaushangilii.
Hongera wcb tawi la jf kwa ukimya wenu