Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,622
- 4,138
Wakuu,
Wewe kama ni mpole,
Hupendi shari
Na si mtu wa kuongea sana-
Kamwe usijichanganye kuoa mke wa sampuli hii!
Hii midomo inaongea zaidi ya redio_mbao iliyowekewa betri mpya za panasonic.
Hapa kitaa kuna jirani
Has a woman of this sampuli!
Kuanzia saa 05:30 alfajiri hadi saa 00:00 usiku
Mtaa mzima anasikika yeye tu!
*aminini nawaambia*.