Mdogo wangu wa hiari ana mimba na katelekezwa

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,743
Amani iwe kwenu, poleni na heka heka za ujenzi wa taifa, naamin mko na afya na wenye nguvu.

Nina mdogo wangu wa hiari, nampenda sana, nae ananiheshim sana, kwa tunavyoish km tunazaliwa, ukweli tangu nimfaham najisikia furaha sana,

Mdogo wangu huyu alikuwa na MTU wake, na alikuja kunitqmbulisha, sikuwa na hiana niliwafurahia wote, MTU wake huyo anatoka Old Korogwe mission, napafaham sana kwan kote huko ni maeneo ya nyumban. Nilimpenda huyo kijana alionesha kuwa mpole sana.

Maisha yaliendelea yapita miaka 2 sasa, wameelewa huko wenyewe kwamba wazae, akabeba ujauzito hakuja kunqmbia kwamba ni mja mzito, tangu mwaka Jana disemba amekuwa akinikwepa sana, sikuwa na shqka sana nilichukulia tu kuwa yuko bize.

Leo kaniita nikaenda kwake, kanieleza kila kitu kuwa mjamzito na ni wa miezi minne, mbaya zaidi huyo MTU wake kamuacha na kumtusi juu, namuuliza kwann huku nambia walau nikushauri analia tu na kuniomba nimsqmehe, hakika nimeumia sana, yaani nimeumizwa na hii kitu mno,

Nimemshauri azae, aende kwao akalee mimba hadi atakapojifungua, km bado tupo hai mtoto akiwa mkubwa anitafute nione nitamsaidiaje aendelee na maisha yake.

Km nimemshauri vibaya wadau mtanisaidia,
 
Hii ni Taarifa? basi imfikie mjaza Mimba.. na wewe unakaa nae kwa kimpango gani hadi umemuambia aende kwao?
 
Kama jamaa amekan mimba kbsa ni bora atoe

Bora angekubali lakn asihudumie
 
Back
Top Bottom