Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,647
- 75,837
Soma stori kwanza :
DoGO: bro siunamkumbuka yule mtoto wa kipinde kile wa kitanga!
MIMI: NDIYO namkumbuka.
DOGO: Wiki iliyopita nilienda tanga tukakutana mwisho tukawa tumesex licha ya ile vita iliyotokea kati yetu mwaka jana.
MIMI: hongereni kama mmeamua kuyajenga.
DOGO: aah wapi bro ungejua hapa nawaza saana. Muda sio mrefu amenitumia meseji anasema hajaziona siku zake ni siku ya tano sasa.
Haha ikabidi nicheke. Ila nilipata maswali mengi saana ya kujiuliza. Hivi mnapokutana na ke nani anapaswa kumkumbusha mwenzake kuhusu suala la mimba? Sex sio ya kustukiza ilipangwa. Sasa kwanini ke asiseme yupo kwenye siku za hatari? Au mtego? Au mtasema hapa dogo alitakiwa kuuliza? Sipo kuomba ushauri ila nauliza tu..