Kwa wanaopenda wanawake wa kizungu

Kwa wanaopenda wanawake wa kizungu

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
17,639
Reaction score
47,716
Habari zenu ndugu wana MMU,

Binafsi niko pouwa kabisa.Ngoja niende direct kwenye lengo.Ingawa story ni ndefu ila nitajitahidi kuifupisha

Ni muda kidogo tangu jamaa yangu mmoja aliponisimulia huu mkasa uliompata mshkaji flan hivi.Story inaanza hivi,kuna jamaa alikuwa ni tour guide pande za kaskazini mwa Tanzania,kazi ambayo aliifanya kwa muda mrefu sana.Ila kuna siku moja alipata mtalii ambae alikuwa anatokea hizi nchi za ulaya.Mtalii huyo alikuwa ni wakiume.Basi yule jamaa tour guide kama part ya kazi yake akawa anazunguka na jamaa sehem mbali mbali za kitalii,ikiwa ni mbugani na mlimani.

Kwavile huyo mbongo (tour guide) alikuwa ni mstaarab na mcheshi basi yule mtalii akawa hataki kukaa mbali na jamaa ili asije akachukuliwa na watalii wengine,hivyo akaamua kumchukulia chumba katika hoteli aliyofikia.Shughuli za kitalii zikaendelea.Kuna siku wakiwa wamepumzika kwenye mgahawa wa hiyo hoteli mida ya jioni kama ambavyo ilikuwa kawaida hayo kila siku,sema kwa vile huyo Mbongo hakuwa mnywaji sana akaaga kuwa anaenda kupumzika, basi na mgeni (yule mtalii).

Na yeye akaenda kupumzika kwavile hiyo siku walizunguka sana.Wakiwa vyumbani (walikuwa wanalala separate rooms) ndipo yule mtalii akampigia simu tour guide na kumuomba aende room kwake kunaishu anataka wazungumze.Jamaa alipofika room wakapiga story mbili tatu,ndipo yule mtalii akamwabia jamaa kuwa kawaida ashazoea wakijaga kutalii kama hivi basi tour guide anakuwa na jukumu la kuwataftia wanawake wa kuspend nao,ila anashangaa yeye anakarbia wiki ila hakuna dalili za kupatiwa demu.

Tour guide akamwambia ilo mbona tatizo dogo tu,akasema anazo namba za madem wengi tu wazuri kesho atampigia mmoja aje (maanamuda huo ilishakuwa usiku sana).Yule mtalii akasisitiza kuwa alikuwa amebanwa ucku huo na hawezi kuupitisha bila kugonga.

Jamaa akajitahidi kumuelezea lakini mtalii hakuelewa,ikafkia kipindi yule mtalii akamuomba mchezo yule jamaa walau apige kwa ucku huo.Jamaa alivyokataa wakapiga sana humo room mwishoye akapata upenyo akaondoka yule tour guide.Kulivyokucha yule mtalii akaomba sana msamaha akisema zilikuwa pombe tu.Yakaisha wakaendelea na mishe hadi mtalii alipoondoka.

Ikapita kama miaka 2 hivi yule tour guide akiendelea na kazi yake.Kuna mwaka akapokea mwanamke wa kizungu ambapo baada ya kufanya nae kazi kwa muda,yule mama akafall kwa mshikaji then wakaanza mapenzi.Jamaa ikawa kila siku baada ya mizunguko usiku jamaa anajilia vyake.Yule mwanamke alipomaliza muda wake akamuachia jamaa kiasi kingi tu cha hela na ahadi kuwa anaenda kumfanyia mpango nchini kwao then jamaa aende maana alikuwa kampenda kweli.

Kweli baada ya kupita miezi kadhaa wakiwa wanawasiliana kwa njia ya mtandao,yule mwanamke akamtumia mshkaji invitation letter pamoja na electronic ticket ya ndege.Jamaa akafanya mipango mingine then akasepa kuelkea Germany ( ndipo alipokuwa anakaa yule mwanamke).Jamaa alipofika kule airport akakuta waliotumwa kumpokea wanamsubiri,then aliongea na yule demu wake kwa simu kisha safari ya kwenda alipo ikaanza.

Wakapanda tren ya umeme ambayo baada ya kusafiri kwa muda mrefu kidogo,ikafika walipokuwa wanaenda.Wakafikia kwenye jumba kubwa tu.Jamaa akakaribishwa vizuri tu,alafu wale waliompokea wakaondoka.Hiyo siku ikapita bila ya mawasiliano tena na yule mwanamke wake wa kizungu.

Kesho yake asubuhi wakaja jamaa wawili,mmoja wapo ndio yule mtalii wa kipindi kilee (waliyepigana nae room wakati alipotaka kumlawiti tour guide).Jamaa mbongo akastuka sana alivyomuona.Yule mtalii akamwambia naona ulikataa kunipea kwenu ila umekuja kunipea huku.

Yule tour guide akajianda kupambana nao lakini walikuwa na bastola ndogo, alafu yule mtu wapili alikuwa ni mbavu nene.Pia akajaribu kupiga kelele lakini jumba wanalokaa linaeneo kubwa so kelele zake zikaishia tu mle mle ndani.Tour guide akaliwa tigo siku hiyo.Akaliwa tena kesho na baada ya siku mbili.Then kuna siku ndio walipokuja tena wakamrudishia passport yake (maana waliichukua) pia wakampa na ticket wakampeleka airport ndio akarudi maskani.

Na katika kipindi chote wakati yupo huko hakuwahi kuongea tena na yule mwanamke wa kizungu wala kuwasiliana nae kwa njia yoyote ile zaidi ya ile siku ambayo alifika for the first time airport.It means inaonekana ni kama mchezo alikuwa amechezewa ili aje kukutana na yule mzungu wa kiume.Nimejaribu kuiandika kwa ufupi ingawa ilikuwa na maelezo mengi sana.Na lengo langu ilikuwa ni kuwahisia wale wanaopenda mteremko.Kupenda wanawake wa kizungu ili ukaishi Ulaya au uishi maisha mepesi sio deal sana

kijana komaa utoke mwenyewe.
 
Hiki kisa ni cha kweli isipokuwa ndugu mwandishi huko ulipokitoa wamekibadilisha kidogo...Mwanaume wa Kitanzania aliyekutwa na kisanga hicho hakuwa muongoza watalii bali alikuwa ni mpishi/mhudumu wa hoteli...Huyu jamaa alipata kusimulia mkasa wake kama sikosei kupitia Wapo Radio nadhani mwaka 2012/13 hivi...

Sababu ya kumfanya asimulie ilikuwa ni kutafuta msaada wa kimatibabu kwa kuwa hali ya kulawitiwa mara ya kwanza ilimfanya aendelee na tabia ya kupakuliwa...Huyo mwanamke aliyefanikisha safari ya jamaa kwenda huko ughaibuni alikuwa ni dada wa damu wa hiyo njemba basha...
 
Ni sawa lkn naona hii ni exceptional case kufanya general conclusion
 
Hiki kisa ni cha kweli isipokuwa ndugu mwandishi huko ulipokitoa wamekibadilisha kidogo...Mwanaume wa Kitanzania aliyekutwa na kisanga hicho hakuwa muongoza watalii bali alikuwa ni mpishi/mhudumu wa hoteli...Huyu jamaa alipata kusimulia mkasa wake kama sikosei kupitia Wapo Radio nadhani mwaka 2012/13 hivi...

Sababu ya kumfanya asimulie ilikuwa ni kutafuta msaada wa kimatibabu kwa kuwa hali ya kulawitiwa mara ya kwanza ilimfanya aendelee na tabia ya kupakuliwa...Huyo mwanamke aliyefanikisha safari ya jamaa kwenda huko ughaibuni alikuwa ni dada wa damu wa hiyo njemba basha...

Duuuuuh hii stori tu ya 2012/13 sasa hivi huyu anasema alikuwa Tour Guide wewe wasema Mpishi... Sasa Hizi stori za Quran na Biblia zilizokuja Kuandikwa Miaka 200 ijayo baada ya wahusika kusepa si ndo zitakuwa zimechakachuliw zaidi..

Anyway Mzungu kwa Mwafrika ni mungu... Na Umaskini wa Mwafrika Ukishamuona unahisi shida zote Kushney
 
Wapenda miteremko watakuwa wamekupata hasa vijana wa pande za ....chug
 
Huyo mpishi hana lolote ana asili ya kuzaliwa ya ushoga.
 
Ni sawa lkn naona hii ni exceptional case kufanya general conclusion

Ni kweli yawezekana nimefanya general conclusion,ila ukweli unabaki pale pale kuwa wapo wanaopenda mteremko
 
Wapenda miteremko watakuwa wamekupata hasa vijana wa pande za ....chug

Wengi ni wagumu wakuelewa,kila kukicha wanafuga rasta then wanatega wazungu
 
Humu Jf kuna mijitu inajionaga ni perfect,jichunguzeni mnaboa hakuna mtu ambaye ni perfect.
 
Duuuuuh hii stori tu ya 2012/13 sasa hivi huyu anasema alikuwa Tour Guide wewe wasema Mpishi... Sasa Hizi stori za Quran na Biblia zilizokuja Kuandikwa Miaka 200 ijayo baada ya wahusika kusepa si ndo zitakuwa zimechakachuliw zaidi..

Anyway Mzungu kwa Mwafrika ni mungu... Na Umaskini wa Mwafrika Ukishamuona unahisi shida zote Kushney

Ukisikia Kafir ndo wewe sasa maana Bible na Quran zimetoka wapi hapo
 
vijana wa ARUSHA wengi hupenda kujichanganya na wazungu ili kupata MTEREMKO wa maisha, kwa hili sasa naamini wengi wao wanatoa JICHO huko waendako.
 
Inawezekana ikawa stori ya kweli. Ila nin wasiwasi na msimuliaji inawezakana ndiyo muathirika wa kugongwa kabaaaaaaang...uajua stori kama hii ni ngumu sana kumsimulia mtu....kwa hiyo jamaaa walikula tena kavukavu..hahahahahahahahahahahaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom