Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 69,888
- 183,952
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake wanaotamami ndoa sana na wengine kuja kutafuta waume mitandaoni wakidai ME vigezo lukuki. Bila kujua ndoa sio jambo la kukurupuka tu, ni uamuzi mgumu na tutaendelea kulaumiana bure tu kuwa sie sio waoaji.
Kuna nukuu moja yenye ujumbe maridhawa napenda tuitafakari na kuijadili nayo inasema
"Most People don't want to be part of the process, they just want to be part of the outcome. But in the process is where you figure out who's worth being part of the outcome".
Hii ni kwa wale wasioelewa uamuzi wa mtu kukuoa unachangiwa na mambo mengi tu na wote wanaoolewa kunakuaga sababu ya msingi na sio bahat au ilimradi tu.
Wadada, ni rahisi zaidi kuolewa na mtu mlietoka nae mbali kimaisha tofauti na wale wanaotaka ready made huku wamejaza vigezo kibao.