Lis
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 471
- 346
Wakuu,
Napenda kuwashukuru wana JF,
Wote kwa michango yenu, hakika imekuwa msaada kwangu. Hivi karibuni nilileta bandiko hapa nikiuliza kama mimi nilishawahi kufika kileleni;
https://www.jamiiforums.com/threads/hivi-inawezekana-nikawa-sijawahi-kufika-kileleni.1178503/
Hivi inawezekana nikawa sijawahi kufika kileleni?
Hii ni kutokana na experience waliokuwa wananipa wenzangu na mimi kujiona sijawahi kuingia. Namshukuru Mungu kwa Mara ya kwanza katika Maisha yangu, nimeweza kufurahia mahusiano yangu, nikimaanisha kwa Mara ya kwanza nimeweza kufika kileleni. Nawashukuru wote mlionipa ushauri, hapa jukwaani na pm pia Mungu awabariki, hakika nilikuwa nakosa kitu muhimu pia namshukuru Mungu kwa kunipa mtu ninayeamini ni sahihi kwangu.
Mwisho kabisa naomba niwape ushuhuda kwamba kumfikisha mwanamke si lazima mwanaume awe na ndefu, hata kibamia kinaweza, mfano mzuri ni mtu nilokuwa nae alikuwa na ndefu lakini hakuwahi nifikisha, ila huyu nilompata ni kibamia lakini ananifikisha na sitegemei kumuacha.