ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,572
habari wapendwa wangu
Leo nakuja na mada ambayo kuielewa inabidi uwe makini kujuua tunakwenda wapi na tumetoka wapi sisi kama wazalendo.
Leo wadau wangu nakuja na somo lisemalo HATA UKIKAMATIA CHINI NDIO MZEE nani ajuaye kama umeshika kunakoshikika hata ukijishaua unapeta tu. Wengine watakazama eti nimekosa kisomo, wengine watadai kuwa eti mm ninakula sahani moja na bosi yote sawa tu ilimradi nimeshika kunako chini nani mwenye kunisumbua, mtajijuuuu nyie mnaoangaika kwenye mavyombo ya habari mpaka mnadatishwa chini wala hamuoni kuwa mwenzenu nimekamatia chini hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa weraweraaaa natokea mlango wa sebuleni yatawashuuuuuu heheheiyaaa ndo leo wengine washamwaga chini eti kisa mtoto mbichi nimekalia sofaseti napeta kwa raha zangu yatawashindaaaaaaaa nyie mnaojipendekeza kwa mwandani wangu yatawatokea puani heyeyeyeyeiyaaa ndo mpango mzima huu nitaendelea kudeka mpaka nione mzee afurukuti kwangu kwani nimemuweka kiganjani hana ujanja hhaahahaaaaaaaa
Mwenye uelewa wa hichi ataelewa dunia hiko wapi sasa na inakwenda wapi tutabaki wawili tu kila sekta mpooooooooooooooooooooooo kwani uwezo tunao kwani mpaka uwe na kisomo ndo uwajibike thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kwa raha zetu hahahahahha
ubuyu ndo ushaufikisha kwa atakayenuna anune na anayetapika atapike hahahahahaaaaaa
habari ndo hiyooooooo
Wasalaamu
Ladyf