KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,515
- 2,808
Ukiona msichana anakuomba hela kila akutafutapo jua hakupendi. Nani asiejua wanawake wakipenda mtu huweza ata kumpa pesa. Au nani asiejua wanawake huwa na mtu ili wamlambe pesa. Mwanamke akimpenda mtu hupenda kuwa karibu nae kila mda na hatopenda kuomba hela kwa huyo mtu otherwise she has no choise. Kuna wanaume wanajisifia eti ukitaka mschana akupende mpe hela.
My friend utapata almost kila msichana ukiwa na hela lakini kumbuka wengi watapenda hela na utakuwa kama uchepuko wake mtunzaji wake ila anamtu ambae atataka awasiliane nae kila sekunde.
My friend utapata almost kila msichana ukiwa na hela lakini kumbuka wengi watapenda hela na utakuwa kama uchepuko wake mtunzaji wake ila anamtu ambae atataka awasiliane nae kila sekunde.