bahati godfrey
Member
- Feb 7, 2017
- 11
- 26
Toka mpenzi wangu asimamishwe kazi ni mtu mwenye mawazo ila huwa namfariji, tatizo linakuja ninampomsaidia huwa nampa elfu 5 kama mahitaji kwa siku sasa jana nilimpa 1500 aende kula chakula cha jioni kwa mama ntilie
Toka jana analalamika hela gani ninayompa nilijisikia vibaya mno maana mimi mwenyewe silipwi mshahara nabahatisha huko kazini akaanza kunitukana kuwa atakapolipwa mafao yake tusijuane tena kila mtu afanye yake nikamwambia poa.
Hakika sisi binadamu sijui tumeumbwaje nimeamua tu nifanye maisha yangu sina jinsi