STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Kama hakuridhishi Kitandani hiyo ni Siri yenu
nyinyi. Anayekutuma uende kumhadithia Shosti
wako ni nani?? Atakusaidia nini...Au na akili zako za
funza unaenda kumwambia jirani, ili akushauri
nini??
Siri za ndani ni za ndani na mnakufa nazo wenyewe...Usitegemee Shosti atakusaidia, sanasana akisaidia saanaaa, ataenda kusambaza umbea kwa
wengine...
Wengi wenu mnajikuta mnapinduliwa na
mashosti mnaowaamini sana mkidhani
wanawatunzia siri KUMBE,wanakuzunguka jamaa
anabandua, anapiga,wewe unabaki unatumbua macho umezungukwa kitambo na huyo BFF...
Mashosti wamegeuka
ma-BABY SHEM, Utasikia
Baby shem leo nakuja, anakolezwa kilingeni
unatoswa wewe na domo lako lepelepe...
Jifunze kufunga mdomo! Kama hawezi mfundishe hadi ajue...