Natafuta mke wa kuoa

masala akili

New Member
Jan 25, 2017
1
0
HABARI WANA JF NAJITOKEZA KWA MARA YA KWANZA KUTAFUTA MKE WA KUO.

JINA:Erickson
UMRI: Miaka 31,
KABILA: mkonongo,
DINI: Mkristu,
NCHI NAYOISHI:Tanzania,
UREFU : FT5.6,
RANGI : Mweusi,
ELIMU: Chuo kikuu,
KAZI :Mwajiriwa,
SIGARA: Situmii,
POMBE : Situmii,
JINSIA: MWANAUME,

Mwanamke ni mtakae awe na mapenzi ya dhati na anaye jua nini maana ya ndoa, Sina ubaguzi wa aina yeyote ile juu ya Elimu, kabila, Dini,kama anamtoto haina shida nacho jali ni upendo.Alie tayari ani PM au tuwasiliane kwanamba ifuatayo 0623058413 karibu Sana, Nacho jua mke anapatikana popote kwenye daladala, mskitini, kanisani, kazini n.k,Kwahiyo hata hapa Jf nipo sahihi kuandika hitaji langu,

Asante Nahitimisha.
 
HABARI WANA JF NAJITOKEZA KWA MARA YA KWANZA KUTAFUTA MKE WA KUO.

JINA:Erickson
UMRI: Miaka 31,
KABILA: mkonongo,
DINI: Mkristu,
NCHI NAYOISHI:Tanzania,
UREFU : FT5.6,
RANGI : Mweusi,
ELIMU: Chuo kikuu,
KAZI :Mwajiriwa,
SIGARA: Situmii,
POMBE : Situmii,
JINSIA: MWANAUME,
NAMBA YANGU :0623058413,
Mwanamke ni mtakae awe na mapenzi ya dhati na anaye jua nini maana ya ndoa, Sina ubaguzi wa aina yeyote ile juu ya Elimu, kabila, Dini,kama anamtoto haina shida nacho jali ni upendo.Alie tayari ani PM au tuwasiliane kwanamba ifuatayo 0623058413 karibu Sana, Nacho jua mke anapatikana popote kwenye daladala, mskitini, kanisani, kazini n.k,Kwahiyo hata hapa Jf nipo sahihi kuandika hitaji langu, Asante Nahitimisha.
new ID
 
Mkuu umeweka details nyingi saana Ila uhajaweka ya Mali au pesa kiasi Gani.....nadhani hiyo ndio muhimu zaidi....

Anyways kila la kheri
 
Namjua mkaka ana jina kma lako anatafuta mke pia, cjui ndio ww1
HABARI WANA JF NAJITOKEZA KWA MARA YA KWANZA KUTAFUTA MKE WA KUO.

JINA:Erickson
UMRI: Miaka 31,
KABILA: mkonongo,
DINI: Mkristu,
NCHI NAYOISHI:Tanzania,
UREFU : FT5.6,
RANGI : Mweusi,
ELIMU: Chuo kikuu,
KAZI :Mwajiriwa,
SIGARA: Situmii,
POMBE : Situmii,
JINSIA: MWANAUME,
NAMBA YANGU :0623058413,
Mwanamke ni mtakae awe na mapenzi ya dhati na anaye jua nini maana ya ndoa, Sina ubaguzi wa aina yeyote ile juu ya Elimu, kabila, Dini,kama anamtoto haina shida nacho jali ni upendo.Alie tayari ani PM au tuwasiliane kwanamba ifuatayo 0623058413 karibu Sana, Nacho jua mke anapatikana popote kwenye daladala, mskitini, kanisani, kazini n.k,Kwahiyo hata hapa Jf nipo sahihi kuandika hitaji langu, Asante Nahitimisha.
 
Wakonongo sio tabora mpanda..ila ni wilaya mpya ya inyonga ni kimji kidogo kilichopo mpakani mwa mkoa mpya wa katavi na wilaya ya sikonge kwa upande wa mkoa wa tabora
 
Wakonongo sio tabora mpanda..ila ni wilaya mpya ya inyonga ni kimji kidogo kilichopo mpakani mwa mkoa mpya wa katavi na wilaya ya sikonge kwa upande wa mkoa wa tabora
Ukiwa Singida au Dodoma wenyeji kwa maana mgogo au mnyaturu akisema mkonongo ana maana ya mtu wa kabila tofauti na yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom