Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,360
Nipo job now and am anxious, Sio kawaida ya best wangu kutonitumia hata salam, Namuona online whatsap namtumia meseji na ninaona tiki ni za blue ila ndo sijui kauchuna.
Nimefikiria sana nini chanzo na nikakumbuka itakuwa ni leo asubuhi nilivyompa dem wake lifti wakati naenda kazini, wakati nampa lifti huyu rafiki yangu alikuwa anaingia kwake na nina uhakika aliona navyompa lifti dem wake. Nilikua najaribu kuwa social kwa kutoa msaada kwa nilichonacho mana huyu mshkaji wangu hana gari so nikaona nitumie gari langu kumpa lift dem wake.
JE DEM /MKE WAKO KUPEWA LIFTI NA RAFIKI YAKO NI BIG ISSUE???