Jando la muda mfupi

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
WANAUME: Ukipata aina ya Mwanamke ambaye
akiona mambo fulani hayaendi sawa
ANAKUITA...ANAKUKALISHA CHINI... ANASEMA YA
KUMOYO...Shukuru sana
Akiona umekuwa extravagant anakwambia
upunguze matumizi yasiyo ya lazima..huyo anakupenda kweli na anatazama Future yenu kwa
jicho la 3
Akiona siku hizi Kitonga humpandishi vizuri
anakwambia uimprove game yako,shukuru sana
Heri Mwanamke anayeongea ya moyoni kuliko
yule jamii ya MR BEAN,yeye ni Kimya na Action tu...Ukimzingua kumfikisha Kibo na Mawenzi
anaimport jamaa mwingine anampopoa
fresh, anatulia tuli unamkuta anakuchekea
tu, unajua mambo shwari kumbe wapiii
Sasa kuna nyie Wanaume mna bahati mmepata
wanawake wanaongea lakini nyie badala ya kusikiliza MNALIPUKA kama jiko la Oryx...''Baba
Sasha Siku hizi hunifikishi unachoka haraka, kuna
nini''...Oh we Mwanamke huna adabu siku hizi,nani
anakutia kiburi kuniambia maneno kama hayo??
Kama sikufikishi nani ambaye anakufikisha hadi
uone mi niko shallow...BABA...Amekwambia KWA FAIDA YAKO..Tena shukuru...Wengine wala hawana
muda...Uki-underperform anatafuta UMAGA huko
nje wa kumfirigisa sawasawa, na wala
hutajua..Utajiona Kidume mwenyewe na kibesi
chako kumbe Gesi yako watu wameshaanza
kusafirisha Siku nyiiiingi toka Mtwara.
 
hahaha ila mwisho wa siku utan'goa tu mkuu, maana kutokun'goa jino na kutumia dawa ni kuhairisha tatizo
Maybe, manake mi kunakipindi niliumwa jino, kuna dawa nikatumia basi mpaka leo natafuna hadi mawe babeki
 
Back
Top Bottom