supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,012
- 1,955
Mimi na Ex wangu tuliachana kwa amani baada ya yeye kucheat akazama huko huko na hatimaye akaolewa(ingawa hana furaha na ndoa yake anatamani tuendelee, nikajikaza kiume nikamkanya akapunguza munkari).
Sasa huyu ex ana mdogo wake fulani wanafuatana, nae ni kisu kama dada ake, alianza figisu figisu baada ya kujua nmetemana na dada ake, mwanzoni nilijua ni utoto coz nimekazidi sana umri! Sasa speed imezidi, calls usiseme, kubeep beep ndo balaa!
Nkiamka tu nakuta sms zake mpaka nkahisi ni mtego labda dada ake anakatuma ili ajisafishe nafsi yake kwa jambo alonitendea, basi nkafanya mpango nkanasa whatsapp yake kwa kutumia 'whatsapp Web'.
Nkaanza kutembelea texts zake, nakuta akichat na dada yake ni salamu tu, labda na kumuomba pesa na kumpa habari za nyumbani baaasiii
Hapo nkaona kuwa amedhamiria, ubaya kama nlivosema dada mtu hana habari na lolote kwa mujibu wa whatsapp yake, pia katika conversation zake zote nmeona akichat mapenzi na kitoto chenzake ambapo naona hamna kitu kabisaaaa!!!
Sasa wakuu sijatoa hii thread kuomba ushauri ila kuomba kujulishwa kuwa kwa suala kama hili nikiamua kunyoosha goti kuna uvunjifu wa maadili? Au ambaye limemkuta jambo kama hili anisaidie majibu!!