Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,579
Habari za wakati huu wanajamvi!
Ebwana leo nimekutana na changamoto ambayo sikuwahi kutegemea kuwa huyu mama mtu mzima umri wa kustaafu anaweza kuwa hivi;
Ebwana ktk shuhuli zangu hapa town huwa nakutana na watu wengi sana kiasi kwamba huwa ni faraja kwangu pindi nipatapo changamoto au fursa napata support!!.
Ebwana leo mnamo saa sita mchana nilifika ofisi ya mkurugenzi mmoja maarufu sana hapa dar sasa ktk story za hapa na pale tukawa tunajadili maswala mtambuka nchini kidogo akaniambia yakuwa whatsaap yake inasumbua toka juzi nikamwambia tena kuna new whatsaap so you need to update ili upate some new features kama status nk, si akaniomba nimsaidie kufanya hivyo wakati nanunua budle si akapokea cm ktk cm yake nyingine akaniomba nusu saa akaonane na mtu mara moja sasa niliponunua budle ukaimba wimbo automatically bila ya kunyamaza nikajiuliza au kaweka speed dial so nmegusa ndo maana inaimba!
Ikabidi niingie ktk file manager kucheki huo wimbo wa Ben Mwaitege ili nione kama naweza kuuzima, duh ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Firauni kumbe ndio maana kila file passwords yani kuna video kibao za ngono nikastuka siunajua tena mtu unayemheshimu na yeye anavyojieshimu kukuta vitu hivyo, nikasema "atajijua mwenyewe" nikaupdate new version ya whatsaap nikamaliza nikajua kuwa anakaribia kurudi mara akanitext kuwa atachelewa "nakuamini hivyo simu yangu nitaikuta kwako" nikasema ina nini hiyo duuh kucheki mmmh yani kuna xxvideo za kila rangi na nyingine ni yeye mwenyewe anafanya yale mambo na wanaume tofauti tofauti nikasema duh! Ningejua nisingefika kule!
Alivyorudi akaniangalia sana usoni na kuniambia vp umeona wanaume wenzako wanavyoweza kazi we shangaa shangaa tu!
Nikamwambia nimeona wapi kumbe ktk backgground ya used files nilisahau kuclear!!
Ama kweli ng'ombe hazeeki maini kwani game lake sio la nchi hii!!.
Swali langu kwenu wadau "vipi aliwe asiliwe"?
Nitawapa feed back baada ya response zenu.