Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,120
- 1,510
Jana nilienda wadutya mida ya saa 5 usiku ,
Muda wa saa 7:30 usiku kuna mmama alionekana amepandisha mashetani huku akigala gala,
Wakati huo akiwa anaacha mapaja yote wazi na kubaki na chupi tuu, aisee halafu mapaja yana mafuta sio mchezo,
Katika eneo la tukio tulikuwa kama wanaume 8 au 9 ila kila dume aliyekuwepo pale alionekana kumtaka mwana mama (late 20s years or 32 to 34 years),
Fahamu zilipomkaa sawa mwana mama akawa anataka mtu mmoja wa kufanya nae ngono kwa dau la sh elfu 20 ila kila aliejitokeza alipigwa kibuti nikaona huu upuuzi sasa nikataka kusepa ndipo mwana mama akanichagua mimi nikakataa kuwa nimeoa na nina mke akasema basi,
Leo nikiwa katika harakati sokoni ushirombo nikamuona yule mmama kumbe anafanya kazi katika grosali,
Ile kuniona tu shobo kibao tukabadilishana namba za simu akaniambia anahamu ya kulicheza tumbo langu nikajiongeza tu huyu anataka nimgegede,
Ukweli namtamani sana huyu mmama na akinipa sikatai ila naombeni ushauril heti anaweza kuwa na UKIMWI kweli manake kwa jinsi alivyonona sina wasiwasi nae kabisa ila nangojea maoni yenu wadau je akinipa nimgonge au nisimgonge ?