Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Aje aje wakuu
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Nina demu wangu lakini nina mashaka na tabia zake na mazingira ya kwao. Huyu demu ana kama wiki ananiambia anaumwa tena Hoi kabisa.
Jana kaniambia amepona. Leo anasema amemiss club anakwenda usiku huu. Na mara nyingi ananiambia kwao ni geti Kali
Napata mashaka juu ya tabia za huyu binti, ana miaka 20 sasa. Najiuliza wiki nzima aliniambia anaumwa, kwao ni geti Kali. Je mzazi gani ataruhusu mwanae wa kike kwenda kwenye maeneo ya starehe usiku na kama mnavyojua club kumejaa uhuni wa kila aina.
Binti huyu namwona kama muongo jinsi anavyozungumza kuhusu life style ya nyumbani kwao na anayoyatenda
Nahisi ni mtoto wa uswahilini sana ila anajifanya ni wa maisha Bora geti Kali.
Mtoto gani wa geti Kali then mboga Saba tena kwa huku Mwanza ataweza kwenda club na kuacha wazazi wake wanamuangalia tu?