Amedeus Somi
Member
- Aug 27, 2016
- 65
- 22
Hello wanajamvi,
Ki ukweli nimetokea kumpenda binti mmoja sana kutoka moyoni mwangu yaani nashindwa hata kuelezea siku nilipanga nikutane nae sikufanikiwa ila namba zake nilizipata nimejitosa kuapply lakini ananiambia nimpe muda now kama mwezi sioni jibu but nkimtumia text anajibu nikimpigia anapokea ila nikimgusia anazingua eti nisubiri jamani wanajamvi nahisi kuchoka sasa.
Nifanyeje na nampenda zaidi ya sana na nipo tayari kwa lolote juu yake.
Asanteni