Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,360
Moja kati ya vitu vinavyowateka hawa dada zetu ni usafi pamoja na kujiheshimu, Hivi vitu ni kama kidole na pete yani vyote vinaenda sambamba.
Awali nlikwishaletaga maada hapa kwamba kitaani kwangu nimepanga chumba, yani nikifika tu hawa mabinti wa hapa wakiwemo mapacha wa jirani huanza kuja chumbani kwangu kuzuga kuchaji simu, sio hapa tu hata nilupokua nakaa zamani ilikuwaga hivyo, Sasa leo nimeona hawa mabinti wanipe makavu maana kulundikana room kwangu na hadi kuita marafiki zao waje hapa sio nyota lazima kuwe na sababu.
walichoniambia ni kwamba kwanza kabisa najiheshimu(sio wao tu husema hivi mtaa mzima wananijua ninajiheshimu na kujielewa na sina skendo) na la pili ni kwamba mimi ni msafi(usafi wa chumbani, mwili na pia kuvaa kitanashati).Haya mambo ya kuambiwa napendwa kwajili ya kujiheshimu na usafi nimeambiwa mara nyingi sana ila na leo nilivyoambiwa tena nimeona nisharr nanyi wanajamii.
So vijana haya mambo ya kujidai unachomekea wakati umepiga mlege hata nguo ziwe safi bado utaonekana hujiheshimu, Kuwa mkarimu wakati upo rough bado kutakufanya uwe mchafu, Cha msingi nachowashauri tena hata nje ya maada hii ni kwamba usafi na kujiheshimu ni jambo la maana sana