Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Katika chunguza chunguza yangu nimekuja kugundua kuwa wadada wa kiislamu wanaheshimu zaid ndoa yao kuliko ambavyo wadada wa kikristo hufanya katika ndoa zao.
Ifahamike kuwa uchunguzi huu ni wa kijumla si wa mtu mmoja mmoja, haimainishi kuwa hakuna wadada wa kikristo wanaoheshimu ndoa zao la hasha wapo tena wengi sana, na pia wapo madada wa kiislamu wasioheshimu ndoa zao lakini katika takwimu za ujumla madada wa kiislamu hujali ndoa zao kuliko wa kristo.
Sababu kubwa niliyobaini ni ule upendeleo waliopewa wa waume zao kuweza kuoa wanawake mpk wanne. Hali hiyo huwafanya wanawake wa kiislamu kujali na kuheshimu ndoa yao kwa kiwango kikubwa lengo lao kubwa ni kuwavutia waume wao wasipate hamu wala wazo la kutafuta mwingine.
Hali hii huwa tofauti kwa madada wa kikristo walioambiwa na imani ya dini kuwa mme wake haruhusiwi kuoa tena hivyo mara nyingi hujibweteka na kutoifanyia ndoa yake vyema