Ratiba ya kufanya tendo la ndoa

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
238
387
Screenshot_2017-03-19-18-36-05.png
Leo nimepata kumtania wife mtarajiwa kwa mfano kama tungekuwa na ratiba ya kuSex angependa iweje? Majibu yake yalikuwa kama yafuatayo.

Jumatatu - No
Jumanne - No
Jumatano - Yes/No
Alhamisi - Yes/No
Ijumaa - Yes
Jumamosi - Yes
Jumapili - Yes

Wadau mnaionaje ratiba hii?
 
Sioni kama kuna tatizo kukiwa na ratiba.......
Watu wengine wanafanya utadhani wanakamia pheeew ......
 
Back
Top Bottom