We ni ke au me?Hivi wana jf hili ni tatizo gani yaani siwezi kabisa kuangalia mtu usoni..
Hivi wana jf hili ni tatizo gani yaani siwezi kabisa kuangalia mtu usoni..
Mama upo? Sijui hata anaombaje Papuchi kama hawezi kuangalia mtu usoni.Me gani waona aibu? Jipe mazoez anza kuzoea kuangalia watu wa karibu yako
Tatizo hili husababishwa na kutojiamini na mwisho wa siku huleta kutokuaminika.Hivi wana jf hili ni tatizo gani yaani siwezi kabisa kuangalia mtu usoni..
nenda kwa gwajima ukaombeweYaani Mimi labda baba tu ndio naweza wengine siwezi hata mama pia nae huwa ana element hizo
Ivo ivo tu nakomaa nao kibishibishi
Ndo hapo sasa! Nipo babaMama upo? Sijui hata anaombaje Papuchi kama hawezi kuangalia mtu usoni.