Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,280
- 16,556
Habari zenu wana MMU,
Nimewamiss! nimekuwa buzy na kuandika story ila watu hawaishi kuniletea zao!
Shogangu: Money Penny buana nimekamatika vbaya mnoo au sijui nimekamatwa au nimejikamatisha
Kuna mzee mmoja, ana miaka 50, aliniona mara 1 tu nikiwa job, basi kila week lazima aje pale ofsini. Akifika tu anaomba nimchajie simu yake.
Siku ya siku uzalendo ukamshinda, simu ilipoletwa kuchajiwa nikapitishiwa ikaja na kinoti, nikakibana kwenye kiganja nikakimuvuzisha kwenye pochi.
Kufungua kinoti nakuta namba yake ya simu na elfu 20,
Nikampotezea sikumcheki, wiki iliofuata, ilo sinema lake niliomba poo nilifukuziwa mpaka nikabadilisha route za home, mzee alizoom ruti zangu zote mpaka nikahisi ni polisi
Finally nikamsikiliza, wimbo ukawa ule ule vi date vya hapa na pale baada ya wiki tukagonga mechi! Ila yule mzee mbovu balaa, yani mimi tu ndio nashughulika yeye kakaa kama mfalme, nikampagawisha mechi 1 nikamkimbia, tangu hapo amekuwa stalker hatari, simu zake sipokei, nikitoka kazini yupo mlangoni, kaniganda kama ruba,
Sijui namfanyaje?! kusema kweli me simtaki kwa sababu moja tu penny, unajua raha ya mechi wote mridhishane, sasa ukiwa unafanya kazi zote mwenyewe kama house maid ni ngumu! Na kumweleza nashindwa maana tume date week 1 tu
Afu sio kwamba ananihonga kiiiivyo kusema nikae walaaa, vi laki 1 kwa wiki vi elfu 20 sivikosi, kila sehemu tupo level, kasoro kitandani tu!
Wana MMU embu msaidieni shogangu hapa
Mkimaliza mje kwenye kuendelea kusoma stori Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle