Yahya Al Sinwar
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,412
- 22,883
Habari zenu wadau,
Nipo Tanga ni mfanyakazi.natafuta rafiki wa kike baadae aje kuwa mke .
Umri wangu ni 35
Dini mkristo
Sifa za ninaye mtaka.
Mweusi
Mrefu kiasi
Awe mchapakazi na mbunifu hata kama hajasoma
Asiwe mwembamba sana
Sichagui dini wala kabila
Kwa aliye tayari tuwasiliane kwa PM.
Asanteni nitashukuru kama nitampata.