Dharau haifai kwenye mahusiano

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,773
3,471
Dharau huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza mapenzi kama sio kuyamaliza kabisa. Unapokuwa kwenye uhusiano jitahidi kumpenda mtu wako kwa hali yoyote na usiwe na dharau kwake au hata kwa marafiki zake au ndugu zake au hata wengineo.

Hakuna mtu anayependa mtu mwenye dharau hata awe nani.Na hii huwa mara nyingi inatokea pale mmojawapo kati ya wanaopendana akimzidi mwenzake uwezo iwe kwa cheo, pesa,uzuri au hata akili na mara nyingi sana inatokea kwa wasichana pale wanapokuwa wapo juu ya wapenzi wao kiuwezo, ila wasichana wanatakiwa kutambua kuwa linapokuja suala la ndoa au kuishi na mtu kwetu sie wanaume tuliyekamilika huwa hatuangalii urembo wa mwanamke kama ndio kigezo pekee cha kufanya tumuoe.

Na huyo mwanamke, ingekuwa hivyo basi wanawake wote wazuri wangekuwa ndani ya ndoa leo hii, hii inamaanisha kuwa hata ukiwa mzuri hutakiwi kujisahau ukaona umeshafika...
 
Mkuu ndo maana siku zote twasema kuwa cut ur cloth according to ur hands
sasa ukiona anakufanyia hivyo ujue kuna watu ndio type yao hao na watawezana nao
ila kwako hamtawezana, mwache aende kw awatu wa type yake, WAPO....

Dharau huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza mapenzi kama sio kuyamaliza kabisa. Unapokuwa kwenye uhusiano jitahidi kumpenda mtu wako kwa hali yoyote na usiwe na dharau kwake au hata kwa marafiki zake au ndugu zake au hata wengineo. Hakuna mtu anayependa mtu mwenye dharau hata awe nani.Na hii huwa mara nyingi inatokea pale mmojawapo kati ya wanaopendana akimzidi mwenzake uwezo iwe kwa cheo, pesa,uzuri au hata akili na mara nyingi sana inatokea kwa wasichana pale wanapokuwa wapo juu ya wapenzi wao kiuwezo, ila wasichana wanatakiwa kutambua kuwa linapokuja suala la ndoa au kuishi na mtu kwetu sie wanaume tuliyekamilika huwa hatuangalii urembo wa mwanamke kama ndio kigezo pekee cha kufanya tumuoe, Na huyo mwanamke, ingekuwa hivyo basi wanawake wote wazuri wangekuwa ndani ya ndoa leo hii, hii inamaanisha kuwa hata ukiwa mzuri hutakiwi kujisahau ukaona umeshafika...
 
mapenzi mazuri ni yale mnakutana shule, mnapeana hamasa ya kusoma wote mwisho wa siku mkoana mnakuwa best friends.
 
Back
Top Bottom