Kiswali hiki huwa kinawapa wakati mgumu wazee wa kuchepuka

mafoleni

JF-Expert Member
Nov 18, 2016
220
371
Unakuta umekiweka sawa kishtobe kimekuelewa ile mbaya, then kinakuja kukutwanga swali hili" UMEOA" hapo ndo unajikuta unamkataa mke mchana kweupeee!!! Maana ukimwambia umeoa tu anaota mbawa humpati aisee. Imekaaje hii kwa upande wako.
 
Unakuta umekiweka sawa kishtobe kimekuelewa ile mbaya, then kinakuja kukutwanga swali hili" UMEOA" hapo ndo unajikuta unamkataa mke mchana kweupeee!!! Maana ukimwambia umeoa tu anaota mbaya humpati aisee. Imekaaje hii kwa upande wako.
Tulia na mkeo, acha uzinzi. Kama wewe ni Muislam oa kama unadhani huyo mmoja hakutoshelezi...
 
Wanawake wengi wanapenda mwanaume anayejiamini.km umeoa ni vyema ukakubali na hawana shida. Wanakupima tu jinsi unavyojiamini tu
 
Unakuta umekiweka sawa kishtobe kimekuelewa ile mbaya, then kinakuja kukutwanga swali hili" UMEOA" hapo ndo unajikuta unamkataa mke mchana kweupeee!!! Maana ukimwambia umeoa tu anaota mbaya humpati aisee. Imekaaje hii kwa upande wako.
Kha!!we jamaa,mbona hawa viumbe wako tayari kushea,ni wewe tu kuhudumia!
 
Mbona wanawake wenyewe wanapenda waliooa....Siku hizi kwenye kutongoza kuoa ni added advantage.
 
hivi mtu unaoa afu bado unakua unahangaika na wanawake wengine ili iweje sasa?ulioa ili kumfurahisha nani,kwa nini usingesubiri tu muda wako utakaoona una uwezo wa kuzuia hisia zako za mwili kwa wanawake wengine ndio uoe?na kwa nini ulioa mtu usiempenda mpaka unafikia hatua ya kumsaliti?
 
Jibu HAPANA.. watu wanakana majina yao ya kuzaliwa for the rest of their life, itakua kukana mara moja tu kama umeoa

Cc: BASHITE
 
Unakuta umekiweka sawa kishtobe kimekuelewa ile mbaya, then kinakuja kukutwanga swali hili" UMEOA" hapo ndo unajikuta unamkataa mke mchana kweupeee!!! Maana ukimwambia umeoa tu anaota mbaya humpati aisee. Imekaaje hii kwa upande wako.
kama umeniona vile duh tena sasa hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom