Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 620
- 1,415
Habari za kutwa wanajamvi. Nianze kwenda kwenye mada husika, kwa kipindi cha mwezi mmoja kumekuwepo na wimbi/kampeni/shuhuda wa watu waliokuwa wameadhirika na punyeto na thread zao zimekuwa nyingi Sana katika jukwaa. Kwa upande wangu Naona ihii ni kampeni YA kuhamasisha vijana au watu wasiojua jinsi ya kufanya Icho kitendo kujiingiza katika mtego wa kujifunza na Leo tena nimeona mwanadada anajisifu kujipiiga nyeto .... Mimi namshukuru Mungu nimeshaowa, nawaonea huruma vijana ambao awajaowa. Ushauri wangu kwa vijana ambao Bado awajaowa/kuolewa wafanye ibada Sana watakuwa mbali na matendo maovu. Mod plz naomba thread za shuhuda za watu waliokuwa wanafanya nyeto zisipewe nafasi katika jukwaa zimekuwa nyingi Sana.... Nimeona watu wanacomment ni Bora Uwe teja kuliko kuwa muathirika wa nyeto kama waziri wa afya anapita pande hizi Bora atangaze kampeni YA kuwasaka wanachama wa chama cha CHAPUTA kinaliza nguvu kazi YA taifa....... Nawasilisha.