Nina swali dogo tu, kwa nini wanawake wajawazito wanavalia kanga juu ya maziwa??

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
32,375
29,732
Habari zenu!
Kama kichwa cha habari kisemavyo, wanawake wengi wajawazito wana uvaaji wao wa kanga, jui ya maziwa na sio kiunoni! Ni swali la kidadisi tu!
 
Mimi nijuavyo wengi wa wanawake wanaofunika maziwa yao kwa khanga ni wale wenye maziwa makubwa zaidi ya kawaida ambayo kwa jina maarufu yanaitwa mtindi.
 
Wengine wanafunga kanga juu ya maziwa kubalance tumbo Lake pamoja na kulistili, wengine wanafungia juu ya maziwa kuficha mimba isionekane na wengine wanavalia juu ya maziwa ili asiibane sana mimba yake.
 
Mimi nijuavyo wengi wa wanawake wanaofunika maziwa yao kwa khanga ni wale wenye maziwa makubwa zaidi ya kawaida ambayo kwa jina maarufu yanaitwa mtindi.
Unless huna dada wala mama na hutegemei kuoa
 
Back
Top Bottom