Wasichana: Tabia ya kutongozwa huku wanakata majani ipo?

Ngoja nimuulize dada yangu

Sitakagi ujinga
3569ce4ff17cba8d695af96a91046a21.gif
kwanini unapenda kukaa na dada zako??
 
Ninakumbuka nikiwa kwenye puberty age, mama aliniambia nikachukue makufuli dukani. Lilikuwa ni duka la Mwarabu na alikuwa ametoka, vijana wake walikuwa wanauza duka, nilikuwa na crush na mmoja wao, basi nilishindwa kabisa kusema ninataka pichu, waliniuliza unataka nini? Nikasema nimekuja kununua pichu za mdogo wangu, walinipa size ndogo. Nimefika nyumbani mama ananiambia huwezi kuvaa hizi, amezirudisha dukani, kufika pale vijana wakamwambia mama dada alituambia ni za mdogo wake.
 
Siku hizi kutongoza ni kutuma tu vi emoji, hakuna cha kuchuma majani wala maua....

Ila wanawake walikuwa wanapata shida hadi amalize kutongozwa,kishachimba shimo la futi kadhaa
wewe shimo kubwa ulilochimba lilikua la futi ngapi
 
Ninakumbuka nikiwa kwenye puberty age, mama aliniambia nikachukue makufuli dukani. Lilikuwa ni duka la Mwarabu na alikuwa ametoka, vijana wake walikuwa wanauza duka, nilikuwa na crush na mmoja wao, basi nilishindwa kabisa kusema ninataka pichu, waliniuliza unataka nini? Nikasema nimekuja kununua pichu za mdogo wangu, walinipa size ndogo. Nimefika nyumbani mama ananiambia huwezi kuvaa hizi, amezirudisha dukani, kufika pale vijana wakamwambia mama dada alituambia ni za mdogo wake.
dah kwel ulitoa kali
 
Back
Top Bottom