Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa wale wanaume wa ukweli ambao tunatoka mkoa wa Mara na wale ambao tulitahiriwa bila ganzi enzi hizo. Hebu tukumbushane hali ilivokuwa na namna hali ilivokuwa. Binafsi nilipata maymivu makali...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Nauliza je hivi hakuna haja ya kufanyika marekebisho kidogo katika suala zima la malipo au utoaji wa mahari kwa Wanawake tunaotarajia kuwaoa ili ile ada ya mahari badala ya kuwa non refundable (...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nipo kwenye kautafiti, Chonde chonde wakuu msinipige wala kunisimanga haka kautafiti sio kama kale ka twaweza, haka ni ka utafiti binafsi, Wale wazee wa tanzania ya viwanda nadhani...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Naombeni ushauri jamani jifanyaje ili nisione haya/ aibu ya hii kitu Au kama nawewe yamekukutA kama yangu changia tupate suluhisho
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Kwa opinion yangu, kilevi kinamfanya mwanamke kuwa mrahisi zaidi. Ikizingatiwa kwamba wanawake ndio 'huwa' hutongozwa na si wanaume. Kilevi kinamuondolea mwanamke aibu na uoga, kinamfanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ha ha ha ha ha nakucheka kwa dharau. Hivi wenzako wanapelekwa Girrafe hotel wewe unapelekwa kiwanja cha shule usiku wa manane unapigwa mbu dah wanaume nawaona au kwa vile viwanjani hakuna hata...
2 Reactions
76 Replies
7K Views
Siku hizi naona dada zetu mishipa ya aibu imekatika kabisa kiasi kwamba kuomba kwao sasa imekuwa kama ndio mfumo wa maisha yao. Imefikia hata unaogopa kuzoeana nao kwani mkishazoeana kidogo tu...
20 Reactions
143 Replies
11K Views
Shwari wakuu? Inawezekana natofautiana kiasi kikubwa na wanaume wengi. Nafahamu wengi hawapendi usumbufu wa kuombwa ombwa vijisenti na wasichana. Mimi ni kinyume kabisa. Msichana kuniomba hela...
8 Reactions
80 Replies
8K Views
Nimekuwa Addicted na Huu mchezo naupenda sana Aisee! kama kuna mtu ana mawasiliano ya mmoja wa wale wanawake wanaocheza ule mchezo naomba msaada Tafadhali....
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Habari zenu wana JF, Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level. WASIFU WANGU Mimi nina umri wa miaka 31 Maji ya kunde Mkristu...
13 Reactions
85 Replies
13K Views
Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana nae mawazo kipaumbele cha kwanza awe na Elimu 2.Elimu 3.Elimu pia umri aanzie 28 nakuendelea karibuni
8 Reactions
160 Replies
24K Views
Kuna hawa mabinti kila nikitoka mishemishe zangu nikifungua mlango wa chumbani tu yani haipiti dakika 1 washakuja kunisalimia wamebeba vichaja vyao ili wachajie huku huku, Yani sometymes inafikia...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Kuna wanaume hawajali mke ila sio wote, ila kwa sasa nazan kama imezidi kila mtu analalamikia hawa viumbe. Kuna ndugu yangu analalamika haachiwi ela ya matumizi na mume ni mtu wa kusafili. Akiludi...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Hili jambo wakaka wengi huwa mnakosea sana kutuonea huruma siku ya kwanza tunapokutana haswaa magetoni mwenu. Hivii mimi mtoto wa kike nimetoka kwetu kabisa nimepanda Daladala nikachukua bodaboda...
49 Reactions
412 Replies
46K Views
Natanguliza sallaam!. Kuna jambo nimeona ni vyema niliseme pengine linaweza kuwa msaada kwa dada zetu. Kumekuwa na changamoto kubwa ya kuolewa.. Hii ni kutokana kutooa, kwa kifupi kutoona...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Wakuu, Hili swali najiuliza sana hebu nisaidieni ,yani Miaka hiyo ya 1999 MA BIBI HARUSI Walikuwa wakilia sana kwenye harusi waliokuwa wanapata kazi ni MATRON maana walikuwa wanawafuta machozi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ZAMANI KIDOGO MIAKA YA 1999 kurudi nyuma MABIBI HARUSI walikuwa wakilia kwenye harus MATRON walikua na kazi za kuwafuta machozi adi leso tatu au nne...SASA HIVI MABIBI HARUSU, wanaimba, wanacheka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama kichwa cha Habar Kinavyojieleza Hiv Kwanin wanaume Tulio Funga Ndoa Tunapenda Sana Kutembea na Wafanyakazi wa Ndani ( Bek3) Yan unakuta Mtu Kafunga Ndoa na Mtoto mzur Lakin Anakuja Kutembea...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
kuna hadithi ya mke MMOJA WA MTUME ,yule mama alikuwa na adabu kiasi kwamba alikuwa akilala akitaka kugeuka lazima aombe ruhusa kwa mumewe! baby mpenzi mume wangu naomba kugeuka upande wa mbili...
3 Reactions
64 Replies
5K Views
Leo nahamuu ya kucheza wadau naomba msaada wapi pananogaa kati ya EAST 24 NA HYAAT KWA DJ JOHN D.TAFADHALI
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…