Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 sasa nakuja hapa kwa mara ya kwanza, natafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 23 kuendelea mpk 29. ambaye yupo tayari tuwewapenzi kwa ajili ya kuja kuoana...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36 natafuta Mke wa kuoa atakaye kuwa tayari kuishi na mimi katika hali zote. Awe tayari pia kuishi na mume nje ya dar es salaam, awe na umri kuanzia 32 mpaka...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Hivi jamani kwanini wanawake walioolewa ni wepesi sana ukiwatongoza yani hawa viumbe sio wagumu kabisa yani. Wepesi sana mwanamke aliyeolewa unaweza...
11 Reactions
166 Replies
19K Views
Mimi ni mwanaume Nina miaka 28 nahitaji binti wa miaka 20-25 aliyeko tayari kuanza mahusiano awe na hofu ya mungu, self respect, simple (no too much makeups) ametulia ,msafi,mcheshi, mrefu wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nianze kwa kusema kuwa si lengo langu kukatisha tamaa watu ila ninashauri tu hasa kulingana na kilichonipata. Mimi niliwahi kupata mchumba kupitia mitandao ya kijamii. Baada ya kuchat kwa...
3 Reactions
60 Replies
7K Views
Picha nadhani inajieleza yenyewe hapo chini,kwa msiojua English samahani itabidi mjifunze Sasa wadada punguzeni kutufanya hivi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wapendwa, Poleni na mvua na majukumu ya leo Natumai mpo salama kabisa, Poleni kwa watakaosombwa na maji siku ya leo. Naomba nilete mada mezani kama ifuatavyo: Mimi ni...
6 Reactions
168 Replies
10K Views
Natumaini ni wazima, Nina mpenzi wangu ni mzuri tuu ila usiku ndiyo ananiogopesha sana. Kuna siku aliomba kuja kulala kwangu mie nikamkubali ila cha kushangaza usiku wa manane nikashituka...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Habarini wana JF, Je mahari yaweza kulipwa nusu yaani kama imeshatajwa kiasi gani halafu anayelipa akaomba apunguziwe ni sahihi? Na pia ikitokea ameilipa lakini hajaimalizia yaani amelipa nusu...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Wema Sepetu amejibu baada ya Harmorapa kumtamani kimapenzi Perfect rahym TZA Siku kadhaa zimepita tangu msaniiHarmorapa kuzungumza kuwa muigizaji staa wa Bongo Movies Wema Sepetu ni kati warembo...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Kama kuna vibamia kwa wanaume, Je kwa wanawake kuna ulinganifu gani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, Kuna hili swala huwa inatokea mtu anafunga ndoa mwanamke akiwa na ujauzito wake tayari, tena tumbo unakuta ni kubwa au kuzaa mtoto kwanza ndio ndoa inafungwa, hili swala kiimani limekaaje...
0 Reactions
62 Replies
11K Views
Jana nilikwenda mtaa flani hapa Stone Town (Zenji) kubadilisha windscreen ya kiji mkweche changu. Sasa mafundi wakaanza kumsema jamaa moja (jina kapuni) kuwa ameachwa na mke wake kwa sababu...
5 Reactions
64 Replies
9K Views
Habarii wakuu Nina mpenzi wangu nampenda sana tuna miaka miwili kwenye uhusiano yeye muislamu na mimi mkristo ananipenda sana hilo sina mashaka nalo Ila shida yake anapenda sanaa kupost picha...
8 Reactions
144 Replies
12K Views
MAMBO NANE(8) YA KUFANYA KUMSAHAU MTU ALIYEKUUMIZA KWENYE MAHUSIANO: Kuumizwa ama kuachwa pale usipotarajia limekuwa ni tatizo linalowakumba watu wengi,suala hili lina madhara makubwa kwa mhusika...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Natafuta tofauti ya mwanamke na mwanamme ukiacha jinsia na sauti, mbona hata mabandiko yao humu jf yako kike sana, ninaposoma topic mpya hasa inayokosoa ukahaba na namna ya matendo inayofanana na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chahusika Nipo jijini mwanza hapa jamanii tangu mwaka huu uanze sijaona kabisa mbwembwe mtaani za watu kufunga harusi ikiambatana na mbwembwe za matarumbeta Hii ni kuashiria...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Sijui ningeiweka wapi hii sura yng jaman... Kwa jins ninavyoonekana mwanaume mtanashati mcheshi na mwenye confidence nisiejua kukwepesha macho pindi niongeapo na mwanamke kila mwanamke huamin...
24 Reactions
92 Replies
13K Views
Hii ndoto hunirudia mara nyingi naota nimezaa mtoto,kila mara naota nimezaa katoto mara kananiongelesha bado kachanga, Je ni ndoto tu za kawaida au leo nimeota nimejifungua mtoto tena halaf eti...
4 Reactions
128 Replies
39K Views
Habari za usiku wanaJF, bila shaka this is the first time ambapo nadhani nimeandika something meaningful (if its meaningful at all). Dunia ipo ktk misingi ya usawa, kila kitu kipo katika pande...
5 Reactions
2 Replies
897 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…