Natafuta tofauti ya mwanamke na mwanamme ukiacha jinsia na sauti, mbona hata mabandiko yao humu jf yako kike sana, ninaposoma topic mpya hasa inayokosoa ukahaba na namna ya matendo inayofanana na hayo, bila tafakari msra utaona wanavyotetea. Je wanawezaje kulinda kizazi hiki dhidi ya uovu wa kijinsia unaotamalaki kila mahala? Au sisi wanaume tuendelee na mfumo wetu dume? I stand to be corrected!