Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 sasa nakuja hapa kwa mara ya kwanza, natafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 23 kuendelea mpk 29. ambaye yupo tayari tuwewapenzi kwa ajili ya kuja kuoana, manake simuda mrefu nataka kuoa, sichagui kabila , wala dini elimu kuanzia kidato cha nne akiwa mjasiriamali, au muajiriwa sawa tu , ili mradi asiwe tegemezi sana kwangu ,ninaomba mwenye nia ya dhati kabisa anicheki pm tuyajenge. kama unakuja kupima upepo bora usije pm manake nipo serious na ninaka mpnz.