Hawa ndio watu katika maisha yako.

Man in black

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
361
377
Habari za usiku wanaJF, bila shaka this is the first time ambapo nadhani nimeandika something meaningful (if its meaningful at all).
Dunia ipo ktk misingi ya usawa, kila kitu kipo katika pande mbili( ndio maana kuna kutenda na kutendewa kwenda na kurudi, kusimama na kukaa, hata mahakama na mabaraza, kamati na tume na vyombo vya sheria vipo kwa ajili ya maintain hio balance.
Japo sisi wanadamu ni wabinafsi by nature pia sisi binadamu ni wema by nature ndio maana tunasuport mema na kukataza mabaya.
Sasa basi Katika maisha yako wapo watu wa 3 (According to me). CAPITAL, ASSETS and finally the mighty LIABILITIES.
Twende moja kwa moja;

1) CAPITAL.(mtaji)
Hawa ni watu ambao ndio chimbuko la maisha yako( wazazi) japo haimaanishi bila wao maisha hayaendi my dear the good life about ni kwamba it goes on nomatter what. zipo namna nyingine za kukuza mtaji (watu wa finance tuko pamoja bila shaka), pia kuna msemo kwamba wazazi wetu sisi sio mali yao ila wao ni njia ya kutuleta duniani. Kama unao(wazazi) keep them, and love them, kama huna, life will still go on, uza shares kuza mtaji kwa namna ngingine. Kazi yao kubwa imekwisha wala usilaumu wazazi kwa yeyote yanayokutokea.

2) ASSETS.
Hawa ni watu katika maisha yako ambao furaha yao kubwa nikukuona unainuka juu, wale wanaokujua wewe ni nani kweli hata ukiwa kwenye matatizo they are there bila excuse yeyote. Hapa nazungumzia jamaa, marafiki na baadhi ya ndugu ambao ndani ya moyo wako unajua kabisa u know, anytime they have your back.
Ukiwa na tatizo huhitaji kujielezea sana kama unatoa maelezo polisi because they just know u, they trust u completely.
Ukiumwa watu wengi watasema pole lkn atakaekuuliza umeamkaje kesho yake ni mmoja au wawili hao wengine walifuata tu utaratibu wa kutoa pole.
Watu wa namna hii(assets) Keep them, siku moja wote mtakua juu.

3) LIABILITIES.
Kama inavojieleza. Hawa ni mizigo, majanga in short ni hasara tupu.
Watu ambao siku ukiona simu yake ujue, habari sio nzuri, either kizinga au emergence au aina yeyote ya habari apart from nzuri, wanatumia ukarimu wako na wema wako wa kusema NDIO kila wakati they take advantege of u.( my friends sometimes we shld learn to say No).
Hawa watu wanatufundisha kwa namna gani huu ulimwemu ni uwanja wa vita ambapo kila mtu atatumia kila kitu ili waweze ku-survive hata kama ni kwa kuwanyonya wengine. Naomba nieleweke vizuri tatizo sio kushare, tatizo ni kwanini iwe wakt wewe unahitaji tu?!! Kwanini hata text ya "mambo" inakushinda mpaka uwe na shida?!
NB. Kila mtu unaekutana nae anaweza kuwa asset au liability, make your choice.
Je wewe ni nani kwa watu wengine( asset au liability)
Nawasalisha, please tell me what you think.
 
If u treat me like an asset I will treat u like one,,n if u treat me like a liability I will do the same.

Penda unapopendwa..usipopendwa achana napo..
Mtu akikuona wa nini wew muone wa kazi gani
 
Back
Top Bottom