shangoo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2015
- 325
- 361
Habarii wakuu
Nina mpenzi wangu nampenda sana tuna miaka miwili kwenye uhusiano yeye muislamu na mimi mkristo ananipenda sana hilo sina mashaka nalo
Ila shida yake anapenda sanaa kupost picha instagram hata ambazo kwangu naona hazina tija au kupost kwa mwanamke aliye na mpenzi na anatarajia kuwa mke wa mtu nishamuonya sanaa yaani hata akifumua nywele yeye anapost tu.
Naombeni msaada wa mawazo nifanyaje maana hana privacy na ni wepesi kuomba msamaha ila lazima apost picha zake kama sio fb ni instagramu mpka nawazaga hizi " umependeza mpnz wangu huwa hazitoshi mpaka likes na comment za mitandao"