Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,281
- 70,685
Hii ndoto hunirudia mara nyingi naota nimezaa mtoto,kila mara naota nimezaa katoto mara kananiongelesha bado kachanga,
Je ni ndoto tu za kawaida au leo nimeota nimejifungua mtoto tena halaf eti wanakuwa haraka ,na huanza kujiuliza sasa mbona nimejifungua mwanaume niliyezaa nae simjui na wala haonekanii nakuwa mim tu na mtoto,
Nyingine ambayo huota sana ni kuota nafunga ndoa ,nipo napambwa nishavaa shela naanza kujiuliza naolewa na nani,na sioni muhusika wa kunioa,watu wamejaa wanashangilia lakin mume simuoni
Au naota naolewa lakin hatufikii hitimisho simuoni mume,au nikimuota mpenzi wangu nafunga nae lakin naishia kuvaa shela kanisani sifiki baadae nashtuka
Au ni kawaida tu wakuu