Natafuta Mwanamke wa kuishi nae

nguzo1

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
349
535
Mimi ni mwanaume Nina miaka 28 nahitaji binti wa miaka 20-25
aliyeko tayari kuanza mahusiano awe na hofu ya mungu, self respect, simple (no too much makeups) ametulia ,msafi,mcheshi, mrefu wa wastani (150-170) cm mimi ni 185cm ,awe rangi ya chocolate/ orange, good looking,elimu siyo kigezo ila awe na akili ya maisha.

Nina hakika hatojutia kuwa na mimi. I'm simple, sina makuu, tall, sina mameno mengi, nina degree moja, naishi Arusha ila kwa sasa nipo Dar es salaam kwa muda.
Karibu
 
nitafute in box
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom