Lipi kosa la Harmorapa? Kumpenda Wema Sepetu?

perfect_rahym

Member
Mar 27, 2017
41
45
Wema Sepetu amejibu baada ya Harmorapa kumtamani kimapenzi

Perfect rahym TZA

Siku kadhaa zimepita tangu msaniiHarmorapa kuzungumza kuwa muigizaji staa wa Bongo Movies Wema Sepetu ni kati warembo wanaomvutia na kutamani kuwa nao kimapenzi, leo Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram amemjibu Harmorapa kwa kuyaandika haya…

Sijawahi kumchukia yeyote anayehangaika kutafuta riziki yake kwa kuwa nami pia natafuta. Ila mdogo wangu Harmorappa u are getting too much. Pigana na namna utakavyo kupeleka muziki na jina lako juu but get me out of this.

Nakuheshimu kama msanii mwenzangu lakini hili la kunadi kunitaka kimapenzi na kuonyesha utayari wa kufanya mambo kadha wa kadhaa kwangu please waambie wengine unaodhani mnawezana ila mimi sio wa aina hiyo.

Usiiharibu image yangu niliyoipigania muda wote, usiniharibie heshima yangu ninayoijenga sasa ktk chama changu CHADEMA, usiniharibie kwenye familia yangu, marafiki zangu na usiniharibie kwa niliye nae.

Ni utoto na ujinga kuposti kila uchao picha za wanawake eti wanakutaka au unatoka nao DO U THINK NAMI NI WA AINA HIYO? Usidharaulishe. Nadhani kuna busara ya wewe to look for another one but AM NOT FOR U and i hope utanipa heshima yangu kama dadaako, msanii mwenzako LETS STOP THERE

Sijawahi kumchukia yeyote anayehangaika kutafuta riziki yake kwa kuwa nami pia natafuta. Ila mdogo wangu Harmorappa u are getting too much. Pigana na namna utakavyo kupeleka muziki na jina lako juu but get me out of this. Nakuheshimu kama msanii mwenzangu lakini hili la kunadi kunitaka kimapenzi na kuonyesha utayari wa kufanya mambo kadha wa kadhaa kwangu please waambie wengine unaodhani mnawezana ila mimi sio wa aina hiyo. Usiiharibu image yangu niliyoipigania muda wote, usiniharibie heshima yangu ninayoijenga sasa ktk chama changu CHADEMA, usiniharibie kwenye familia yangu, marafiki zangu na usiniharibie kwa niliye nae. Ni utoto na ujinga kuposti kila uchao picha za wanawake eti wanakutaka au unatoka nao *DO U THINK NAMI NI WA AINA HIYO?* Usidharaulishe. Nadhani kuna busara ya wewe to look for another one but *AM NOT FOR U* and i hope utanipa heshima yangu kama dadaako, msanii mwenzako *LETS STOP THERE*

A post shared by Wema Sepetu (@wemasepetu) on Apr 5, 2017 at 4:14am PDT
 
Sio kosa ila direct attack ya harmo kwa Dada wema kama ile hata mm sikuipenda coz dogo anatfuta kiki kwa kipumbavu
 
huyu harmolapa itabidi tumrudishe kwao mtwara sasa... naona anakurupuka hapa dar.. jiji lina wenyewe hili..!!!!
 
Angenyamaza wengine wangesema Wema ameshamkubalia harmorapa, halafu kama Wema ana mpenz wake inawezekana huyu kamwambia wema mkatae harmorapa hadharan ili ajiridhishe kwamba hakuna mapenz kati yao
 
Back
Top Bottom