Depretty
JF-Expert Member
- Jun 14, 2013
- 248
- 97
Habarini wana JF,
Je mahari yaweza kulipwa nusu yaani kama imeshatajwa kiasi gani halafu anayelipa akaomba apunguziwe ni sahihi?
Na pia ikitokea ameilipa lakini hajaimalizia yaani amelipa nusu yake au hata robo 3 yake ya mahari yenyewe na vitu vingine nayo ni sahihi?
Shukrani