Wake zetu na dada zetu kwa nini mnatufanya tuonekane wa hovyo hivi?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,941
19,130
Picha nadhani inajieleza yenyewe hapo chini,kwa msiojua English samahani itabidi mjifunze
Sasa wadada punguzeni kutufanya hivi

WhatsApp Image 2017-04-06 at 3.13.01 PM.jpeg
 
Ha ha ha ha kawaida ndio huu utofauti kati yetu unaoleta ladha ya maisha y ndoa
 
Mimi nilikuwa nadhani tulipoambiwa tuishi nao kwa akili hawa wanawake, iliwahusu waliopo kwenye ndoa tu! Ila nmegundua hata MAMA yako au DADA yako yakupasa uishi nae kwa akili.

Big up to all men!
 
Back
Top Bottom