Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 709
Natumaini ni wazima,
Nina mpenzi wangu ni mzuri tuu ila usiku ndiyo ananiogopesha sana. Kuna siku aliomba kuja kulala kwangu mie nikamkubali ila cha kushangaza usiku wa manane nikashituka nikakuta anatafuna meno. Yaani kama kuna vitu anatafuna hivi na meno yanakuwa yanakuwa yanatoa sauti tu.
Sasa nilikuwa naomba mwenye tiba au mwenye kujua njia ya kuyazuia au kuzuia hii tabia maana hadi saizi naogopa sana kulala naye tena na nilitest mara tatu nikagundua ndivyo alivyo.
Msaada tafadhali