Amuacha mumewe baada ya kujua anafanya mapenzi kinyume na maumbile

chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,439
1,736
Jana nilikwenda mtaa flani hapa Stone Town (Zenji) kubadilisha windscreen ya kiji mkweche changu. Sasa mafundi wakaanza kumsema jamaa moja (jina kapuni) kuwa ameachwa na mke wake kwa sababu mwanamke amegundua kuwa jamaa anatinduliwa marinda kiasi kwamba akiwa anafanya mapenzi na mke wake, akitaka kutoa protin na mbolea inatoka kwa mpigo.

Hivyo mwanamke amevumilia imeshindikana ikabidi aseme kwao na kumwacha jamaa. Baada ya kumwacha jamaa mwanamke ameanza kutangaza kitaa.

Je akina dada kama ni wewe utamtunzia siri huyo jamaa (mmeo) au utamtangaza kama anavyotangazwa huyu jamaa?

Je kama wewe ni huyo askari koti utafanyaje utakapojua kuwa unatangazwa na mke wako kuwa unatinduliwa?
 
duuuuuh.... huyo jamaa nae kazingua utageuzwa vp kidume mzima..!!!
ila hakuna kitu kizuri kama kutunziana siri ni heshima ambayo mke/mume timamu lazima atambue hilo!
Mfano ungekuwa wewe askari koti ungefanya je?
 
Swali ni kwamba utamtangaza ama utakula buyu tu machane kimya kimya?
Binafsi sitamtangaza kwanza ni aibu kwangu kuongea kitu hicho mbele za watu though naamini kuna watu wengi walikua wanajua huu mchezo wake so Mimi ndo wa mwisho kujua baada ya marinda yote kuisha.So la kutangaza hapo
 
Back
Top Bottom