Nina muda mrefu sijaona matarumbeta ya ndoa/harusi

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Kichwa cha habari chahusika
Nipo jijini mwanza hapa jamanii tangu mwaka huu uanze sijaona kabisa mbwembwe mtaani za watu kufunga harusi ikiambatana na mbwembwe za matarumbeta
Hii ni kuashiria utawala huu wa Magu watu hawaoni wanabebana kimya kimya
Au inaashiria Hali ngumu ya kifedha watu hawaoani
Hali ipoje huko kwenu kuhusu ndoa za mbwembwe na matarumbeta ??
 
Aisee yapo kiaina ila lazima ununiwe coz michango imekua migumu watu wanakaushia juu kwa juu
 
Ungekua arusha ungeyaona sana tu kwny round about ya kijenge na kule makumbusho.
 
Kichwa cha habari chahusika
Nipo jijini mwanza hapa jamanii tangu mwaka huu uanze sijaona kabisa mbwembwe mtaani za watu kufunga harusi ikiambatana na mbwembwe za matarumbeta
Hii ni kuashiria utawala huu wa Magu watu hawaoni wanabebana kimya kimya
Au inaashiria Hali ngumu ya kifedha watu hawaoani
Hali ipoje huko kwenu kuhusu ndoa za mbwembwe na matarumbeta ??
Utakua unakaa koromije sio mwz mjini
 
Back
Top Bottom