Wana MMU na JF kwa ujumla pamoja na kwamba niko kwenye kipindi cha majonzi lakini nimewiwa kuandika hili... Hili la mahusiano yenye kutia shaka sana... Nimeamua kuileta huku kutokana na muktadha...
Habari,ni binamu wa rafiki yangu kaja kwa rafiki yangu jana jion akiwa analia akidai kwamba mpenzi wake waliedumu nae takriban miaka mitano sasa kampa mimba binti mwingine ila huyo binti anavodai...
Naamini wengi wetu tunajua kwamba, kujinyima, kufanya mazoezi, kutumia vidonge vya kupunguza uzito na mbinu mbalimbali za kupunguza uzito wakati mwingine hushindwa kufanya kazi kama...
STORY: "SIKUTEGEMEA"
MTUNZI: Mdharuba J.K.
SEHEMU YA KWANZA.
★★★★★★★★★★★
"Ndo huyu huyu.. mi naona dawa yake ni kumpoteza kabisa...
wakuu,ebu leo tutoane tongo tongo kidogo hapa,eti wakati wa kumvika msichana Pete ya uchumba,ukishamuuliza Yale maneno "will you marry me"? akakubali,then what next unatakiwa kuendelea na blah...
Kuna mambo yanauma sana kabla ya pasaka kuna demu wangu tulipanga tukutane leo basi mm nimejiandaa nikapanda gari hadi meeting point nikaanza kutuma meseji kimya nimeganda hapo ww simu kimya...
Vipi mambo wakuu,
Eti inakuaaje mke wako hana mapenzi ya kutosha katika family ya mume? Na family inampenda sana mke hata akienda kwa wakwe anajifanya kama mgeni vile hazoei kabisa pale home ni...
Namtafuta sana Suzan wa mbezi alipiga simu katika kipindi cha MIDNIGHT MAGIC usiku saa 6 kipindi kinachoendeshwa na bro chiko siku ya jumanne usiku naomba tuwasiliane kwa email hollymaro@gmail.com
(Writer darasa la mapenzi)
Karibuni mchangie
Ni suali moja ambalo halina majawabu ya moja kwa moja, lazima tuangalie vigezo zaidi kuliko kwa mtazamo wa kawaida. kama wewe unayo majibu usisite...
Jamani kwanza nianze na heri ya pasaka kwenu
Mimi ni Kijana machachari sana lakini ni MTU mmoja mwenye malengo makali sana na mara nyingi huwa napenda kutoa ushauri kwa watu mbalimbali wenye...
Mimi binafsi nikiri kuwa na mpenzi na shabiki mkubwa wa mpira wa miguu na michezo ya mieleka, kwa wale wanaofatilia mpira wa ulaya kuna mechi za katikati ya wiki huwa zinachezwa usiku sana mara...
Hi,
Rafiki wa kike anahitajika then aje kuwa mke if God wishes. Am 36, graduate nimeajiriwa serikalini, niko Dar. Uwe atleast na diploma, mwenye ajira.
Uwe Mkristo (Protestant/Pentecost). Umri...
Hellow to every here how is day going ? i think is going very well to you. sorry for all who get befall,disease, stabbed to their partners.for me my day going very thank you GOD. Ok let go...
Kumbatio la ghafla kutokea nyuma
Mwanamke huwa anajisikia vizuri sana akikumbatiwa kwa nyuma na mpenzi wake kwa kushtukizwa, labda kwa mfano yuko jikoni anapika halafu mwanaume akanyata...
Mimi ni kijana umri miaka 27 mjasiriamali na mkulima ambaye pia namalizia elimu yangu ya chuo(shahada ya uhasibu) dini yangu mkiristu (mkatoriki) naishi DSM nahtaji mwanamke vigezo miaka...
Nina mke ambae kila mara tunakuwa tunashindana kitAbiA na amekuwa akitaka utawala furani ndani ya nyumba kuna siku nilistuka aliponiambia kuwa eti endapo siku nitachepuka nayeye akajua lazim...
Hili swala limekuwa Gumzo kwa sasa katika jamii yetu kuanzia vijana mpaka watu wazima haijalishi we ni nani upo wapi una cheo gani,limekuwa likisababisha changamoto mbalimbali katika maisha yetu...
Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu
Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama...
Siku hizi madem hamna huruma aisee au si mseme basi mnauza tuu papuchi? kwa usawa huu imekua mpaka umdinye manzi mpaka uwe na ela maana unaeza kuwa na genye ukimpanga manzi Wako atakuambia...
Habari za Humu Wakuu
Uzi huu ni kwa niaba ya mtu...
Kuna jamaa alikua kaoa mda mrefu tu baada muda kulikua na matatizo ya huyu jamaa na mke wake balaa haliishi nyumbani kila siku kelele mke wake...