Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Peoplee, Natumaini nyote mu wazima wa afya. Ninawasalimu wote. Ndugu zangu, ninakuja hapa kuomba msaada. Najua wapo watakaonibeza kwa maneno ya kashfa lakini inapaswa mtambue kuwa nina...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari za usiku wanajamii Mimi ni kijana wa kiume Rijali Kabisa sasa imetokea nimependwa na Madem wawili na wote ni wazuri na wote nawapenda sasa mmoja ni mtoto wa kishua na mwingine ni wa...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
SHEMEJI MONICA SEHEMU YA PILI Na Nira Saire Halikuwa swali gumu kwa James kwa maana jibu alikuwanalo, ugumu ulikuwa kulitoa hilo jibu, “CD ipi?” James akajifanya kuuliza swali ambalo Monica...
0 Reactions
2 Replies
17K Views
Maana imejitosheleza. Najua watu tunatofautiana katika swala la kuvutiwa na watu wa kike, hebu tuoneshe tofauti yetu hapa!
1 Reactions
55 Replies
56K Views
Habari za leo wapendwa, Kama wanasayansi wanavyosema UKIMWI unaweza kudhibitiwa na ARV, sasa umepata mwenza amekwambia ukweli kuhusu afya yake, umegundua ni Zaidi ya miaka mitatu sasa anatumia...
8 Reactions
117 Replies
6K Views
Ukiwaona watu wanavyopendeza na kuvutia utasema kweli mungu kaumba. Lakini kumbe hakuna lolote!!!! Kinachowapendezesha hawa viumbe ni mavazi! Ukitaka kujua binadamu ni kituko akae uchi.....
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau habari ya muda huu Yani mwenzenu mida hii ndo nazinduka baada ya kulewa chakari mida ya asubuhi Tangu Jana nipo ghetto na demu wangu sasa nlichokifanya Leo ndo sijui hatma yangu Ni kwamba...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya mbinde ya miezi kama mitatu hivi ya kubishana na upande wa ukweni kuhusu kipengele cha mahari hadi nikaweka mgomo na kuzila kuwa nimeghairi kuoa kwenyewe, Hatimaye jana wamekubali...
17 Reactions
107 Replies
9K Views
Sikumoja niliamua kwenda wanakojiuza wadada ikiwa ni moja kati ya njia zangu za kuepuka punyeto. Mambo yalikua ivi, nilifika lile eneo nikachagua mrembo alie jaa makalio na matiti makubwa kama...
3 Reactions
58 Replies
9K Views
Salaam nyote, Kama title inavyojieleza. Miaka yangu ni 34, elimu yangu ni Advanced Degrees, nimeajiriwa. Makazi yangu ya kudumu ni Dar, ila kwa sasa naishi South Korea (contract assignment)...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Leo nimeamua niweke wazi swala lililo nitesa kwa mda mrefu. Na pengine na wewe linakutesa lakini huezi liacha. Nilianza kuangalia x movies toka darasa la saba hivyo kupelekea kujichua kila mara...
7 Reactions
61 Replies
11K Views
Habari ya wakati huu. Wanaume wenzangu ambao mmeoa mke mkoja au mna mpenzi mmoja na hamchepuki mnahitaji pongezi za ziada. Mnastahili heshima ya aina yake. Kwa wanaume ambao mko sexully active...
16 Reactions
94 Replies
9K Views
Wakuu habari, Siku hizi kuna shida kubwa ambayo kwa utafiti inaonyesha ni sababu kubwa kuyumbisha ndoa za wengi wale wako katika ndoa na hii ni kwa sababu mwanaume kuamua kuoa mke mwenye ajira...
2 Reactions
128 Replies
62K Views
WanaJF, Nipo katika mahusiano na mwanamke ambaye elimu yake ni std 7, mimi nina elimu ya pia nipo certified na moja professional board hapa Tanzania! Kiukweli ni mtu anayejali na anaonesha...
3 Reactions
108 Replies
14K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni muajiriwa serikalini, natafuta mke mwenye umri kuanzia 18-28 elimu kuanzia kidato cha nne. Tuwasiliane kwa email; mbwana26@gmail.com au PM
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Wakuu Nimedumu na mpenzi wangu mpya huyu ambaye nampenda sana yapata sasa ni mwezi wa tatu nipo katika huba nzito! Siku za hivi karibuni amekuwa akihitaji nichukue kinywa changu kupitia ulimi...
12 Reactions
257 Replies
24K Views
- when she cant complain, seeing u with another woman. grow up man - you are not the only handsome man on earth.
0 Reactions
8 Replies
891 Views
Habari za Maisha Waungwana!!? Kuna umri ukifika unakua na msukumo flani as kijana kua unataka kupiga hatua hii na ile katika maisha na wakati mwingine mambo yanapo kua hayaendi sawa unavunjika...
7 Reactions
80 Replies
5K Views
Back
Top Bottom