Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana nina miaka 28 kunabinti wa miaka 27 nimempenda vipi nikimuoa itakuwa sawa? Naombeni ushauri.
8 Reactions
168 Replies
19K Views
Siku hizi tumekuwa kama wanaume wenzao wanafanya wanachotaka yaani hawatuogopi kabisa,heshima hakuna tunaishi kama kambare! Utampa huduma zote kula,kulala atavaa vizuri lakini bado kuna siku...
5 Reactions
77 Replies
6K Views
Kwa mtazamo wangu huo haumaanishi kwamba wanawake walio juu ya umri huo hawana sifa ya kuolewa, hapana. Vijana mnatakiwa kuwa makini katika suala zima la kujenga mustakabali mzima wa familia...
5 Reactions
37 Replies
7K Views
Igweeeeeeeeeeee, Ndugu wana jamvi Mimi nikijana ambae nasoma chuo Fulani hapa mjini dar es salaam na nimwalimu halimashuri Wa secondary halimashauri hapa Tanzania. Naomba ushauri kwenu kwa...
2 Reactions
133 Replies
11K Views
Habari wapendwa, Tafadhali yule kaka aliyekuwa anahitaji mwenza mwenye tatizo kama lake la kutoweza kumpa ujauzito naomba anitafute kama bado ajampata huyo mwanamke.
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Hellow hellow, kama wewe ni mama au unatarajia kuwa mama nakupa hongera yako, ila wale mabishoo au wanaokula ujana piteni pembeni. jamani akianmama wanakazi ngumu nasema ni nguuumu tena saana...
1 Reactions
0 Replies
757 Views
Hivi, huu utafiti umefanyiwa wapi? Na nani? Kwanini? Na ikiwa ni kweli, nani amehalalisha uwe mzinzi? Kwasababu sijaona mkizungumzia kuoa wanawake wengi, bali wazinzi wanazugumnzia kugegeda...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Habarini, Kwa wale wenye uelewa wa saikolojia au uzoefu wa mahusiano bila kuangalia umri wako, ili mradi usiwe mario. Ni mwanamke anayeonekana ana mawazo kila saa, anafurahi dk 5, anakaa kimya...
12 Reactions
254 Replies
19K Views
Kuna mada nyingi sana huwa naziona hapa jamii forums kwenye MMU zikianzishwa na wakina dada wengi wakizungumzia kwamba hawawezi kutoka na wanaume wasio na hela au wanaume suruali. Hata wanaume...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Aliyeimba raha jipe mwenyewe saiv ana mimba We endelea kukariri tu maneno ya watu utakufa na utam wako[emoji23][emoji23][emoji23]
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Wenzangu na heri ya pasaka japo nimechelewa kuwatakia heri, Kama kichwa cha habari kinavyosema, Ni mjadala ambao nimekuwa nikiusikia mara kadha na kiukweli kwangu mimi...
1 Reactions
116 Replies
14K Views
Habari za jumatatu ya pasaka wapendwa. Nilichokiona leo saa alfajiri, kimenifanya nifikilie hali itakuwaje kwa hawa mabinti zetu mwaka michache ijayo. Hivi inakuwaje binti unatoka kwenu kwa...
5 Reactions
76 Replies
6K Views
Watu wengi wamekua wakiji uliza ni ipi apps nzuri ya ku edit video na picha en share it on social media. Bas ingia playstore uandike kama uonavyo kwa picha apa. Pia uliza apps yoyote utapata
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Huyu Raisi tuliyenaye kafanya maisha yawe magumu sana mtaani pesa hazionekani, vyakula bei juu kama vile mchele, sukari na unga. Kutokana na Hali hiyo biashara ya dada poa imeshamira sana kwenye...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini za pasaka!! Hakuna jambo baya Kama mwanaume kutokujitambua. Kuwa mwanaume ni heshima kubwa hakuna asiyejua. Si Wanyama si ndugu zetu wanawake hilo wanalijua. Sasa wapo wanaume ambao...
35 Reactions
303 Replies
25K Views
Habar za jioni marafiki, naomba mtu yoyote ambaye yupo Kigali anisaidie kunipa kampani ili nipajue vizur kigali. Nitakuja kwa matembezi tu ya siku moja maana bajeti ni ndogo sana.
0 Reactions
1 Replies
918 Views
26 THINGS EVERY MAN MUST KNOW ABOUT WOMEN TODAY!!! 1. A little ‘thank you’ could strengthen her. 2. Even when she knows she’s Beautiful, she would like hearing it from you sometimes. 3. A...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
salamu! Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta girlfriend mwenye sifa hizi Umri: 18-29 Elimu: awe anajua kusoma na kuandika SIFA ZANGU Umri: 30 elimu:masters Kazi:nimeajiliwa sekta binafsi...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Wana MMU na JF kwa ujumla pamoja na kwamba niko kwenye kipindi cha majonzi lakini nimewiwa kuandika hili... Hili la mahusiano yenye kutia shaka sana... Nimeamua kuileta huku kutokana na muktadha...
20 Reactions
103 Replies
9K Views
Back
Top Bottom