Nimuache mke wangu?

Mar 10, 2017
45
25
Nina mke ambae kila mara tunakuwa tunashindana kitAbiA na amekuwa akitaka utawala furani ndani ya nyumba kuna siku nilistuka aliponiambia kuwa eti endapo siku nitachepuka nayeye akajua lazim nayeye achepuke, hapo alinifanya nimshushe kwa % ya kuwa mke bora kwangu.
Naombeni ushauri wenu wana jf.
 
Mwanamke wako kashaanza shit test za kukupima msimamo wako hapo. Jiandae kisaikolojia kuburuzwa kunafata mda si mrefu usipokomaa kiume.

Hakikisha unamwambia ukweli kuwa hicho alichofanya kina kuvunjia heshima na hautegemei kusikia hilo tena otherwise utachkua hatua kali za kisheria. Ila usimwambie ni adhabu gani utampa abaki na swali kichwani!
 
Nina mke ambae kila mara tunakuwa tunashindana kitAbiA na amekuwa akitaka utawala furani ndani ya nyumba kuna siku nilistuka aliponiambia kuwa eti endapo siku nitachepuka nayeye akajua lazim nayeye achepuke, hapo alinifanya nimshushe kwa % ya kuwa mke bora kwangu.
Naombeni ushauri wenu wana jf.
Muache mkuu na uende wodini ukafanye booking kwa mtoto yeyote wa kike atakayezaliwa umlee na umfundishe tabia uitakayo badae umuoe hawa utakaokutanao ukubwani huwezi kupata aliekamilika kwa asilimia zote kikubwa ni kuvumiliana tu.
 
Wewe vipi? Hivi nyie huwa mnaishi vipi na wake zenu??? Mwanaume ndio kichwa cha familia mwanaume unatakiwa uwe mbabe muda wote na yeye mwanamke ajue na siku alipotoa hiyo kauli ulitakiwa umuonye kwamba hutaki ujinga na asirudie kuongea upuuzi kama huo!!!
 
kumuacha mkeo sio ndio kuondoa tatizo kaa nae chini uongee nae nn tatizo kuu ikishindikana ita wazazi pande zote mliongee
 
Hawafanani tabia... Anatabia za visasi na chuki... Mvumilie tu.. Ndiyo mkeo tena huyo...

Au kuna mambo anaanda kuyafanya ila anaona una mbana bana... Siku ukianza wewe, na yeye anamalizia...



Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom